Nyota wa zamani wa Arsenal, amejiunga na The Blues kwa mkataba wa miaka mitano na hivyo kuvaa jezi namba 4, katika uwanja wa Stamford Bridge, baada ya kuihama Barcelona kwa ada ya paundi £ 30 milioni.
Hata hivyo hakuacha kuisifia krabu yake aliyotoka kwa kusema "Kwanza mimi napenda kuwashukuru kila mmoja katika timu ya FC Barcelona ambapo nililifurahia miaka mitatu ya raha. Ilikuwa ni klabu yangu ya utoto na mimi daima kwa ufahari kabisa sitoacha kusifia timu kubwa kama hii niliyopata nafasi ya kuichezea.
0 comments :
Post a Comment