TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Diamond Platnumz
Only a day left before the Voting Gate get Closed on @neaawards Please Vote for me as an AFRICAN ARTIST OF THE YEAR through bellow link so that we can make it... it's very easy...thanks🙏http://neaawards.com/index.php/voting-page/
(Ni siku moja tu imebaki kabla ya zoezi la upigaji kura kufungwa kwenye Tunzo za @neaawards tafadhali naomba unipigie kura ili kwa pamoja tuilete Heshima Hii kubwa Nyumbani... ni rahisi sana Ukibonyeza itakuletea picha na pale kwenye Picha yangu utaona Tiki, ukiibonyeza tu iyo tiki na kuwa ya kijani basi utakuwa umefanikisha tunzo hii na Heshima kubwa kuja Nyumbani, Shukran 👨http://neaawards.com/index.php/voting-page/ )

0 comments :

 
Top