
Mwanamke mjamzito aliyefahamika kwa jina la mama Janeth, mkazi wa Kimara-Suka jijini Dar anadaiwa kujifungua kisha kukiweka kichanga kwenye begi na kukitupa shambani, kisa mwanaume aliyempa ujauzito aliukataa. Wananchi walifanikiwa kumkamata huyo mama ila baadaye aliwachoropoka na kukimbia kusikojulikana. Mwili wa kichanga huyo ulihifadhiwa hospitali ya Tumbi
Hivi hapa nani wa kulaumiwa ?
0 comments :
Post a Comment