TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Edo Kumwembe · 17,736 followers
Yesterday at 9:16am ·
Akili ya kawaida sio kitu cha kawaida...kwani tukivunja vibanda vya wamachinga na kuweka viraka vya lami haraka haraka mnafikiri Obama ataiona Dar es salaama kama Las Vegas? kwanini tusiache kama ilivyo hili tumuonyeshe matatizo yetu? kwanini tusimuonyeshe kuwa wanapochukua Uranium hii ndio hali halisi wanayotuachia?....Brainless thinkers!!!

0 comments :

 
Top