TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Ujumbe Kutoka Kwa Baba Yake
Reginae Mwenye Umri Wa Miaka 16 Ambae Ni Mtoto Wa Lil Wayne  asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa furahana.

 
 sherehe hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi akiwemo Nicki Minaj Alietoa burudani usiku huo.

Reginae alizawadia gari mbili mpya ya kwanza ni FERARRI Brand New amepewa na baba yake mlezi  Na BMW SUV  Magari ambayo yalishuhudiwa na wageni waliohudhuria katika siku yake ya kuzaliwa.


Nicki Minaj






Reginae Carter

Magari Aliyopewa

0 comments :

 
Top