Mwigizaji na mwanamuziki wa mziki wa kizazi kipya baby Madaha ambaye kwa sasa yupo pande za kanda ya ziwa akifanya show maeneo mbalimbali ya mkoa huo anatarajia kuzindua brand yake aliyoipa jina la Amore ambayo itakuwa na viatu, nguo na perfume tarehe 29 mwezi huu kwenye hoteli ya Regency jijini Dar es Salaam
AMORE YAJA KIVINGINE NA BABY MADAHA
Mwigizaji na mwanamuziki wa mziki wa kizazi kipya baby Madaha ambaye kwa sasa yupo pande za kanda ya ziwa akifanya show maeneo mbalimbali ya mkoa huo anatarajia kuzindua brand yake aliyoipa jina la Amore ambayo itakuwa na viatu, nguo na perfume tarehe 29 mwezi huu kwenye hoteli ya Regency jijini Dar es Salaam
0 comments :
Post a Comment