OMMY DIMPOZ HUYOOO CHANEL "O"
Msanii wa bongo fleva namshindi wa tuzo tatu za KTMA, Ommy Dimpoz amesema kuwa kutokana na ubora wa video yake ya Baadae, imewafanya television ya Channel O kunvutia waya na kumuomba awatumie video hiyo. Ameyasema hayo alipo kuwa akihojiana na matangazaji wa Radio One siku ya jumapili.
0 comments :
Post a Comment