Mr Nice amekosa ulaji wa kitita cha zaidi ya milioni 141 kutoka kwa Grandpa Record kutokana na kuwa na mkataba na Fish Crab Audio Station ya hapa nchini ambayo iko chini ya Ramaa.
Ingawa mabosi wa record hiyo kutoka kenya wamesema sababu zingine zilizochangia kumtosa msanii huyo ni uvivu pamoja na ulevi na kuto kuwa na ushilikiano mzuri.
0 comments :
Post a Comment