DIAMOND AWAOMBA MSAMAA MASHABIKI
Diamond Platnamz amejitetea kutokuwepo kwake jana katika tuzo za Kili licha ya kushinda tuzo mbili, Amesema alishindwa kuhudhulia kwa sababu alitakiwa kwenye uzinduzi wa kinywaji kipya cha kampuni la cocacola kiitwacho Novida, uzinduzi huo ulikuwa wa mhimu kwake yeye akiwa kama balozi wa cocacola.
0 comments :
Post a Comment