CHUMBA CHA HABARI CHAVAMIWA NA KUSABABISHA MAUAJI YA WATU 12 Uvamizi katika chumba cha habari Ufaransa Dakika 15 zilizopita Takriban Watu 12 wameuawa na watano kujeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na watu wasiojulikana. Shambulio hilo lililitekelezwa kwenye ofisi ya gazeti la vobonzo Charlie Hebdo jijini Paris nchini Ufaransa.
0 comments :
Post a Comment