Dr H. Mwakyembe |
Nimepata shida sana kujiuliza bila majibu kwa nini Dr. H. Mwakyembe kaondolea wizara ya uchukuzi, baada ya utafiti niliofanya nimegundua sababu kubwa ni tatu:
1. Adhma yake ya kufufua reli ili kuachana usafirishaji wa mizigo mizito kwa malori inayopelekea baabara zetu kuharibika vibaya.
2. Kudhibiti ufisadi na wizi bandarini
3. Udhibiti dhidi ya usafirishaji wa madawa ya kulevya kwenye viwanja vyetu vya ndege.
(Source J Forum)
Swali ni je yanafanyika yote haya kwa maslahi ya nani?
JE TUTAFIKA KWA STAILI HII? NINI NAFASI YA MWANCHI WA KAWAIDA KTK MAMBO KAMA HAYA?
Toa moni yako hapo chini
0 comments :
Post a Comment