TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


HAYA NDIYO YALIYO JIRI KATIKA KILICHOITWA MASHAMBULIZI DHIDI YA MAGAIDI ,WALIO TAMBULISHWA KAMA AL SHABBAAB.
Pango limevunjwa kwa kutumiamizinga, na hatimae jamaa wametoroka hakuna aliekamatwa, Sergeant Kajembewa JWTZ aliepigwa risasi ya Tumbo ameshafariki Dunia, majeruhi waliopo hospital ni PC mmoja wa FFU, Sergeant wa JWTZ aliejeruhiwa sikio, Corporal alijeruhiwa mguu.Askari wote wameshatawanyika eneo la Tukio na walichokuta ni Pikipiki, baiskeli, vyakula na nguo

0 comments :

 
Top