
Chini kushoto ni mwili wa mama aliyefariki dunia maeneo ya Kipawa Jijini Dar es salaam, kwa kukanyagwa na gari aina ya roli linaloonekana pichani.
Chanzo cha ajari hiyo ni mvua kidogo iliyo kuwa inanyesha jijini Dar es salaam iliyosababisha mama huyo kujificha chini ya gari na dereva kuto kutambua kama mama huyo yupo chini ya gari hilo na kuamua kuliondoa gari hilo kitendo kilichosababisha mamahuyo kuburuzwa hadi umbali ya Mita 10 na kisha kufariki papo hapo.
0 comments :
Post a Comment