
Ni wakazi wa Misheni, jijini Mwanza na Sakata linaloendela hapa ni Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimshushia kipigo kikali mumewe John Shila mchana kweupe kwa madai kuwa toka ndoa yao ilivyovunjika wakaachana ,Jamaa alikuwa hapeleki matumizi ya mtoto, mbaya zaidi alikataa na kudai mtoto si wake.
0 comments :
Post a Comment