Watu wanne wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa leo na Mahakama Kuu Geita baada ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya mlemavu wa ngozi Zawadi Magindu yaliyofanyika mwaka 2008.
Home
»
»Unlabelled
»
WANNE KUNYOGWA GEITA KESI YA MAUAJI YA ALBINO
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment