
jambo kuhusu mustakabali wa nchi hii na mipango yake ya kuiinua nchi kiuchumi katika miaka kumi ijayo.
Lowassa: Nimeingia CCM tangu mwaka 1977. Maisha yangu yapo CCM; Mafanikio ilyopata CCM yasiifanye ikabweteka mwaka 2015; upinzani umeimarika
8. Amesema: Toka nimetoka Serikalini; tumekuwa wagumu wa kufanya maamuzi. Kila kitu ni legelege! Waganda, wakenya na wanyarwanda wanatupita!
9.Amesema: Afya ni neema toka kwa Mungu, nawahakikishia watanzania kuwa “Am fit and Kicking” nashauri watangaza nia wote tupimwe wote afya
10.Amesema: Arusha itawaka moto tarehe 30 Mei 2015; watanzania tegeni sikio kwani nitaanika kila kitu kuhusu mustakabali wa nchi hii!
Hayo ni kwa ufupi. Wahariri wakuu katika media zote kupitia Jukwaa la Wahariri walikuwepo, na Absalom Kibanda (New Habari) na Nevil Meena (Free Media) ndio walikuwa waratibu wakuu wa mkutano huu.
0 comments :
Post a Comment