Shilole amesema kuwa Nuh hamwamini kabisaa na ana wivu kupitiliza ndio chanzo cha wao kuachana.
Pia ameongeza kuwa kwa sasa yuko tayari kupokea maombi kwa yeyote anayevutiwa naye.
"Mimi sina makosa, niko tayari kurudiana nae kama atalijua kosa lake. Kwasasa niko Single nakaribisha maombi”. Alisema Shilole
0 comments :
Post a Comment