Waziri mkuu Mizengo Pinda amekataa ombi la wananchi wa jimbo lake la
uchaguzi la Katavi la kumtaka agombee tena ubunge katika jimbo
hilo.
Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya
kulitumikia Taifa akiwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na anaamini wakati
umefika wa yeye kuwaachia wengine nafasi.
0 comments :
Post a Comment