TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Dr. Wilbroad Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali.
Aliyasema hayoalipokuwa akihojiwa na Radio Five juu ya uteuzi wa Dr Magufuli kuipeperusha bendela  ya CCM katika kinyang'anyilo cha Urais 2015.
Aliongea mengi, lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamuwajibisha Magufuri katika vyombo vya sheria ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba za Shirika la nyumba la taifa kwa bei ya kutupa.

0 comments :

 
Top