
Wakati
CCM kikiwa kimempitisha Dk. John Magufuli kuwa mgombea wake wa urais
katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu, Umoja wa Katiba ya Wananchi
(UKAWA), wamesema, mgombea huyo hana uwezo kukabiliana nao kwa kuwa hata
jimboni kwake wamempita kwa idadi ya viti vya uongozi katika mitaa,
vitongoji na udiwani. source: NIPASHE
Wewe kama mwananchi, unakubaliana na UKAWA katika hilo kuwa Magufuli hawezi kabiliana nao?
0 comments :
Post a Comment