
"Wasanii tuna haki ya kumpigia kampeni na kuchagua tunayeona anatufaa, lakini pia tukubali mabadiliko kama timu za mpira Yanga na Simba zinavyokubali zikifungwa na huku kwenye siasa nako wakifungwa Oktoba 25 wakubali matokeo ili amani ya nchi yetu iweze kuendelea,” anasema Juma Nature
0 comments :
Post a Comment