Nahodha na golikipa namba moja wa timu ya Taifa ya Nigeria
"super eagle" Vicent Enyeama ameondolewa katika kikosi cha timu ya
taifa ya Nigeria kitakacho kabiliana na Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa
Stars" hapo jumamosi ya wiki hii jijini Dar es Salaam.
Nahodha huyo ameomba kuondolewa katika kikosi cha Kocha Sunday Oliseh kutokana na matatizo ya kifamilia yanayomkabili ambapo mara ya mwisho kwa golikipa huyo kutua katika ardhi ya Tanzania ilikuwa msimu wa mwaka 2003 ambapo alikuwa anaichezea klabu ya soka ya Enyimba ambapo walifungwa magoli 2-1 na klabu ya soka ya Simba goli la ushindi likifungwa na mlinzi Boniface Pawasa katika hatua ya robo fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika.

0 comments :
Post a Comment