TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


"Wasanii tubaki kua wahamasishaji tu!Kuanza kukashfu Viongozi utadhani labda nawewe umekua mwana Siasa au Mgombea itakuja kutu Cost baadae. Hua najiuliza cjui wanalipwa shiling ngapi maana wanasahau wao ni wasanii na wana Mashabiki wenye Imani tofauti, pia kuna Maisha baada ya uchaguzi. Endeleeni kutumika vibaya kwa Njaa ya leo na kwa maslahi ya wachache na kusahau kuna kesho. Pigania unacho amini but si kwa kashfa wala Matusi. Mimi naamini ‪#‎Mabadiliko2015‬ .Tukutane ‪#‎October25‬" ...Ameandika hivyo Nay wa Mitego

0 comments :

 
Top