TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Napenda kusisitiza kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Uchaguzi huu unahusu mabadiliko. Mimi na wenzangu ndani ya chama, viongozi wangu, wanachama wenzangu, mashabiki, wapenzi na wafuasi wa CHADEMA na wanaouunga mkono UKAWA ambao ni Watanzania wengi wenye vyama na wasiokuwa na vyama, tunaamini katika msingi mmoja wa mabadiliko katika uchaguzi huu; kuiondoa CCM madarakani.

0 comments :

 
Top