
Masaa machache yamebakia ili (UKAWA) Waongee na wanahabari juu ya Tuhuma dhidi yao zilizotolewa na Dr. Slaa.
Updates...
Mbatia anaongea sasa
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja AZAM TZ
- Dr. Slaa anaendesha siasa za mitaroni.
- Tanzania ni yetu sote na siyo mali ya chama cha mapinduzi
- Kamati kuu ya CHADEMA walishamteu Dr. Slaa kuwania uraisi, CUF walimtea Pro. Lipumba kabla ya Lowassa kabla kuhamia CHADEMA
- Dr. Slaa alisema yeye alikuwa bora kuliko wagombea wengine hivyo lazima apewe kijiti cha UKAWA
============
Dr Slaa alisema yeye ni bora kuliko wengine na alikuwa anaulilia Urais kwa nguvu kubwa, karibu kikao kivunjike kwa kutokukubaliana. Colisium hotel tulitakiwa tutangaze mgombea urais, Slaa aliomba msinitangaze leo, leo anasema hajawahi kutia nia, anasema siasa ni sayansi. Nilikuwa nimtangaze tarehe 14 wakati huo Lowassa hajaingia CHADEMA. Aliyeenda hadhari kumtaka Lowassa agombanie urais 27/7/2015 alikuwa James Mbatia, aliehariri alikuwa Pro Lipumba na namheshimu kwelikweli mpaka kesho.
Hizi hoja nyepesi za kutaka kulipasua taifa la Tanzania badala ya kuleta umoja wa kitaifa. UKAWA tunasimamia uadilifu, umoja, uwazi, uwajibikaji, tunawataka watanzania wote tuje pamoja, tuwe kitu kimoja. Niwaombe watanzania kwa nia njema, kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake lakini wanansiasa hasa wa CCM, nawakaribisha kwenye midahalo Mzee sitta alijenga ofisi ya spika Urambo, Je kuna ofisi ya spika Urambo, ndio maana nawaambia hakuna atakaepona hapa. Magufuli ni rafiki yange sana tangu chuo kikuu, alichangia harusi lakini leo hii tukimwambia aeleze kashfa ya uuzaji wa nyumba za serikali, atapona?.
Niwaombe watanzania, wasiruhusu watu ambao hatuzidi mia moja tulipasue taifa la Tanzania. Dhana ya jeshi kuchukua madaraka imepitwa na wakati, sio jeshi nnalolijua lililoasisiwa na Mwalimu Nyerere. Siasa nyepesi, hawa wanaosimamia vyombo vya ulinzi na usalama washaurini vizuri, vijana walio wengi tusiruhusu watu walio madarakani.
Rushwa ya milioni mia tano unakuja kuisema leo baada miaka saba, sisi mgomvi wetu ni CCM, lazima iondoke.
Asanteni
=======
MASWALI
- Katika maelezo yako, umesema kwa yaliyotokea jana, umesema CCM inaashiria kushindwa, wa ajana kasema yeye hana chama. Kwanini umezungumzia CCM inaelekea kushindwa ilhali umesema aliesema hana chama?
- Slaa na nyie mlishirikiana
- Umezungumzia maswala ya dini, kwanini unawazungumzia viongozi wa dini ambao wenyewe hawajajititokeza kujibu
- Nataka nijue, ishu kubwa suala la
- Kutokana na hali ya halisi, msimamo wenu ukoje?
- Nipashe: Naomba ufafanuzi, baada ya kusikia maelezo yote kutoka kwa aliekuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA, amezungumzia kashfa moja tu ya Richmond na kuacha zote, nyinyi mmelipokeaje, nyuma yake kuna nini?
MAJIBU
Kwamba Slaa hana chama, tunamuhusishaje na kushindwa kwa CCM. Alisema yeye mwenyewe, siku zote tunajadili hoja sio wote lakini ukimsikiliza kati ya, chombo gani jana cha habari kilirudia? Sawa wamelipa, wamefanya nini, sisi hatuna matatizo. Demokrasia inasema siku zote wengi wape, tarehe 20/07 tukiwa na Lipumba, Lowassa, Mbowe na wengine wote. Lowassa hajawahi kutamka atakuja na wabunge 50 hajawahi kutamka. Alisema walivyokuwa CCM walikuwa wanamshabikia, alieyasemea wapi. Hata angesema angekuja nao, wale watu wa Jangwani wangetoka wapi.
Watanzania wameshamchagua tayari Lowassa, hata picha za bahari beach zinaonyesha alikuwa pembeni anazungumza na Lowassa. Tuliwashawishi waje, watanzania walikuwa na hofu hawa hawana uzoefu. Wana uzoefu, aliemteua Lowassa waziri mkuu wa kwanza alikuwa Kikwete, machafuko yalitokea wapi? Slaa alikatwa ubunge CCM akaja CHADEMA, hakupewa masharti yoyote, katiba ndio inaweka taratiba, wewe unajifanya unaweka masharti juu ya taratibu, kama alikuwa na masharti yake hio ni fujo.
Sikuwahi kukutana na baba askofu Gwajima kwenye mchakato, kama kuna mtu alimtuma Gwajima nani alimtuma, hata kwenye picha Gwajima alipokuwa hospitali aliekuwa karibu yake ni Slaa. Hakuna mtu ambae hakuwa juu ya sheria.
Viongozi wa dini
Hivi maaskofu waje wajitetee kuwa wamekula rushwa au hawajala, naomba wasijibu. Tutaleta mifarakano, tunaomba TEC ikiwapendeza wanaweza wakatoa statement moja tu.
Richmond
Waliposhinda kesi mahakamani na Tanzania na tulivyoambiwa lazima tulipe, hivi choo ukikipeleka ndani ya chumba
Nimesoma barua ya ufisadi, ufisadi ni mfumo na Lowassa wana haki ya kujielezea zaidi wakitaka lakini hawa wanataka kututoa kwenye reli tuanze kujibizana mmoja na wengine.
0 comments :
Post a Comment