Rihanna & Drake |
Rihanna na Drake walionekana wakiondoka katika Klabu ya usiku ya Hollywood nightclub wakiwa pamoja na kuondoka pamoja. Je, hii inamaanisha hawa wawili wanauhusiano.? Tusubili tu mda mdio utakao tuambia..!...
Chanzo MTV Base
KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE
Rihanna & Drake |
0 comments :
Post a Comment