Mama Grace Tendega |
HUYU NDIO MTEULE WA CHADEMA KATIKA KINYANG'ANYILO HUKO KALENGA
Kamati Kuu ya Chama imemteua Mama Grace Tendega Mvanda kuwa ndie Mgombea wa Chama katika Uchaguzi Mdogo wa Marudio wa Jimbo la Kalenga Mkoani Iringa unaotarajia kufanyika tarehe 16 March 2014.
0 comments :
Post a Comment