Manispaa ya Kinondoni imeifungia hospitali ya IMTU, kutokana na agizo lililotolewa na Wizara ya afya kuwa sababu mbalimbali ambazo zilionekana baada ya ziara ya Wizara hiyo katika hospitali hiyo.
kai ya ya sababu zilizofanya hospitali hiyo kufungiwa ni pamoja na,
Utendaji mbovu wa wa kazi katika hospitali hiyo
Mapungufu ya vifaa vya kuchomea taka
Maabala kukosa watumishi maalumu na msimamizi wa maabala hiyo, pamoja na
Kutokutenganisha dawa yaliyo haribika na dawa nzima
Profesa Yasin Mgonda amekubaliana na uamuzi huo wa serikali na anachukulia maamuzi hayo kama funzo kwao na kwamba watayafanyia kazi mapungufu yote na watakapo kamilisha wataijulisha serikali ili wakague na kuruhusu kufunguliwa tena kwa hospitali hiyo.
0 comments :
Post a Comment