Katika hali isiyo ya Kawaida mfanyakazi wa ndani mariam said umri 16 ambaye anafanya kazi katika nyumba ya mbunge wa moshi vijijini mh.ciril (ccm) ameuliwa kikatili baada ya kipigo kikali kutoka Kwa Mke wa mbunge huyo.
Aidha kosa la kipigo hicho ni baada ya binti huyo kukataa kwenda kanisani wakati binti huyo ni muislamu.
Mashuhuda wa tukio hilo wamekiri dhidi ya tukio hilo pia walipojaribu kumkanya Mke huyo wa mbunge asimpige binti huyo ndipo mwanamke huyo alipowajibu Kwa maneno ya dhihaka kuwa ata akimuua binti huyo hakuna atakae mfunga kwani serikali yote ya ccm ni yao.
Daaaaah matokeo yake binti amekufa,inauma sana binti mariam said kafa akiwa bado mdogo hii inatokana na watawala kuona wanaweza kufanya chochote dhidi yetu masikini.
0 comments :
Post a Comment