"Kama umeshindwa kwenye masuala ya kisiasa usile njama kuwaondoa
wenzako, huo ni ushetani, kama tukianza kumomonyoa maadili ya uongozi
kwa kuleta watu ilimradi watu heshima ya nchi yetu itashuka". Hii ni
kauli iliyotolewa leo na aliyekuwa mtia nia ya Urais, Mh Bernad Membe.
0 comments :
Post a Comment