
Lakini siku zote Mungu hamtupi mja wake. Kama jina lake linavyosadifu mwezi mtukufu unaomalizika siku mbili zijazo, Ramadhani ambaye amehitimu Shule ya Wavulana ya Feza jijini Dar es Salaam, ameibuka mwanafunzi bora nchini kati ya waliofanya mtihani huo wa kujiandaa kwa masomo ya elimu ya juu. SOMA ZAIDI HAPA
0 comments :
Post a Comment