Jana ilikuwa ni uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Chifu Mkwawa, yaliyofanyika katika kijiji cha kalenga wilaya ya Iringa Vijijini Mkoani Iringa.
Shere hizo ziliudhuliwa na viongozi wengi akiwemo mkuu wa Mkoa wa Iringa. Mgeni rasimi katika sherehe hiyo alikuwa ni mbunge wa jimbo la Makete amabye pia ni Waziri wa ofisi ya Raisi anayeshughulikia mazingira Dkt. Binilith Mahenge.
Mkwawa alikuwa ni Chifu wa kabila la wahehe na alipambana vikali na Wajerumani pale walipotaka kuchukua aridhi yake.





0 comments :
Post a Comment