TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

TAWLA imezindua msaada wa kisheria kwa wanawake walio katika mazingira magumu;
kupata huduma hiyo piga simu ya bure 0800110017"

Wamesema kuwa kupotia huduma hii itawasaidia saana wale walio katika mazingirz magumu kuwafikia wanasheria na vituo vya msaada wa kisheria.

Wanawake wengi saana wmekuwa na uhitaji wa misaada ya kisheria lakini hawajui wapi pa kuanzia ili upata hizo huduma. na kwa upande mwingine huwa wanaogopa kwani huona kama bado haki yao itadhurumiwa na wataalamu mbalimbali wa sheria.

Itumieni namba hiyo wanawake ili msaidiwe matatizo yenu, lakini pia yeyote yule anayeona kuna mwanamke anayehitaji huo msaada ni vyema akamsaidia kufikisha tatizo lake kwa namba hiyohiyo.

0 comments :

 
Top