HABARI ZA KUSIKITISHA KWA WATANZANIA . Kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuuawa kwa askari wa Tanzania aliyekuwa kwenye kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Congo Ahmed Mlima na waasi wa M23 siku ya jana. Askari huyo ni miongoni mwa askari walioenda kulinda amani ya waafrika wenzao wanaopoteza maisha huko congo.
0 comments :
Post a Comment