Msanii wa pop ncini Marekani Rihanna alionekamna akifurahi saana baada ya timu ya ujerumani kushinda katika michuano ya kombe la Dunia dhidi ya Argentina nchini Brazil ambapo ujerumani ilishinda 1-0.
baada ya mshambuliaji wa Ujerumani kufunga gori, Rihanna alionyesha furaha ya kiasi cha juu jambo lililopelekea kuvua shati alilovaa na kuonyesha nguo zake za ndani alizokuwa amevaa...
Baada ya mechi kuisha Rihanna alionekana akifurahi na kupiga picha na wachezaji wa ujerumani katika mapozi mbalimbali




0 comments :
Post a Comment