HAWA NDIO WANAFUNZI WALIOKOSA MKOPO
Zaidi ya wanafunzi elfu 28 (28,000)wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu kukosa mkopo. Hizi ni taarifa za kuaminika kutoka bodi ya mikopo. Sasa je! wanafunzi hawa elfu 28 wote wataweza kujigharamia au hili litangazwe kuwa janga la kitaifa.
0 comments :
Post a Comment