TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo.
drizzy
Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25.
Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na ile iliyovuja hivi karibuni ‘How Bout Now’.

0 comments :

 
Top