
Msanii wa kizazi kipya Mr Blue, amekutwa na kashifa ya kushindwa kulipia hotelini (Chriss Hotel iliyoko Tarime) kiasi cha 40,000 kitendo ambacho kilifanya uongozi wa hoteli hiyo kuzuia mabegi yake.
kutokana na kuzuiwa huko, ndipo Blue akaamua kumlaghai mfanya usafi wa hotelini hapo ili amchukulie mabegi yake kitendo ambacho kimemfukuzisha kazi binti huyo.
0 comments :
Post a Comment