i/ msaada wa wakilin wake Tundu Lissu, amewaambi apolisi kuwa hawawezi kumkamata mbunge popote pale, iwe ukumbini, maeneo ya bunge au nje ya viwanja vya bunge, wakati Bunge likiwa linaendela na vikao vyake kutokana na Parliamentary Immunity aliyo nayo, labda hadi polisi wafuate taratibu zinazo takiwa.
ii/ maana ya nenoo lenyewe sio tusi kutokana na sheria za Tanzania, bali linaweza kutumika kwa vitu au mtu anayefanya matendo au kusema maneno yanayostahili kuitwa hivyo.
iii/ Tundu Lissu ambaye ni wakili wake aliwauliza nani amepeleka malalamiko ya tuhuma hizo, je ni Pinda mwenyewe au kunamwingine, majibu yao yakawa ni ya kujing'atang'ata tu
0 comments :
Post a Comment