DICLOPER NA DICLOFENAC NI HATARI........
Kwa mujibu wa radio Deutch well ya Ujerumani, ililipotii tarehe 25 mwezi wa sita kuwa matummizi ya dawa aina ya DICLOPER na DICLOFENAC kwa matibabuu ya binadamu ni hatari kwa afya za binadamu kwasababu zinasababisha magonjwa makubwa kama vile, moyo, ubongo, vidonda vya tumbo, kansa ya ini na kifo cha ghafla..
0 comments :
Post a Comment