TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

BINTI aliyekuwa akishiriki katika kinyang'anyilo cha kumtafuta miss utalii wa Tanzania, maarufu kama  Faithiya Madoud  ameamua kupiga picha za uchi ili kujipatia umaarufu maradufu baada ya kupata kidogo kwenye tamthiria alizo shiriki za,"Mrembo  wa Facebook"  na  "nimpende  nani"
Mrembo huyo amefanya uchafu huowakati waislamu wakiwa kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan. 
 
 
 
 
 
 
 

0 comments :

 
Top