TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Basi lenye namba T281 ARR mali ya Happy Nation likiwa limepinduka eneo la Meta Igurusi kilometa 54 kutoka Mbeya




Wauguzi pamoja na madaktari wakiendelea kuwahudumia majeruhi
Basi la Happy Nation lililokuwa likisafiri kutoka Mbeya kuelekea DSM limepata ajali eneo la Igurusi asubuhi hii, watu wawili wamefariki dunia na 15 wamejeruhiwa.habari kamili endelea kuwanasi hapa.

0 comments :

 
Top