TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Tall III
Tumekuwa tukisikia rekodi mbalimbali zikivunjwa na watu duniani na rekodi hizo maalumu huwa zinatunzwa katika kitabu cha kumbukumbu cha Guiness World Records.
Kwa mara ya kwanza, watu ambao wako katika kitabu hicho kutokana na kuvunja rekodi hizo za kipekee wamekutana London Uingereza siku ya Novemba 13.
Chandra Bahadur Dangi mtu aliyevunja rekodi ya kuwa mtu mfupi kuliko wote Duniani amekutana kwa mara ya kwanza na Sultan Kosen, jamaa ambaye amevunja rekodi ya kuwa mtu mrefu zaidi duniani.
Chandra anatokea Nepal ana urefu wa Sm. 54.6, Sultan anatokea Uturuki ana urefu wa Sm. 251 ambayo ni sawa na futi 8.3.
Hizi ni picha zinazowaonyesha wakali hao wakiwa pamoja.
Tall II
Tall & Short
Tall IV
Tall III
Tall V

0 comments :

 
Top