Sarah Amini, mmoja kati ya wake wa rais wa zamani wa Uganda Idi Amini amefariki dunia huko London wakati akiendelea na matibabu.
Kwa mujibu wa Ugandan daily monitor, Sarah alikuwa mcheza “show” wa jeshi la wananchi nchini humo walifunga ndoa mwaka 1975 na kuachana mwaka 1979 baada ya rais huyo kupinduliwa.
0 comments :
Post a Comment