Mwanaume ambaye ni Msusi katika Saloon ya wanawake inayofahamika kama HK ndani ya manispa ya Tabora ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na umauti.


0 comments :
Post a Comment