Rais Kikwete amefanya uteuzi wa mawaziri na manaibu mawazir kutokana na kuondolewa madarakani kwa mawaziri wawili Anna Tibaijuka na Sospiter Mhongo kutokana na kashifa ya uizi wa mabilioni ya fedha za ESCROW.
Mawaziri walioteuliwa ni
-George Simbachawene- Waziri wa Nishati na Madini
-Mary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na Uratibu
-Harrison Mwakyembe - Waziri wa Afrika Mashariki.
-Wiliam Lukuvi - Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi
-Steven Wassira - Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika
-Samwel Sitta - Waziri wa Uchukuzi
-Jenista Mhagama - Waziri wa Sera na Uratibu wa Bunge
-Christopher Chiza- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji
Manaibu Waziri walio teuliwa ni
-Steven Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
-Angellah Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi
-Ummy Mwalimu- Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
-Anna Kilango- Naibu waziri wa Elimu
-Charles Mwijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini
JE UKIWA KAMA MKELEKETWA NA NCHI YAKO KUNAKASORO GANI KWENYE UTEUZI HUU
0 comments :
Post a Comment