![]() |
Mkazi wa Mtaa wa Migombani kata mpya ya Minazi Mirefu, Ilala DSM, akitafakari jinsi ya kuzoa maji ya mvua yaliovamia na kuingia ndani ya nyumba yake kutokana na miundo mbinu mibovu. |
![]() |
Mvua kidogo ya leo, madhara makubwa kwa wakazi mtaa wa Migombani kata mpya ya Minazi Mirefu Ilala Dar |
![]() |
Licha ya maji machafu yaliotokana na mvua ya leo wakazi na mama lishe wa Daima soko Mtaa wa migombani Minazi Mirefu wanaendelea na huduma za mama lishe. Kipindupindu tutapona? |
0 comments :
Post a Comment