Watu wengi saana wameushukia uteuzi wa wakuu wa Wilaya kuwa ni wa kiupendeleo saana huku wakiufananisha na kama ni wa kulipa fadhira hasa kwa Wakuu wa wilaya wawili Makonda na Mboni.
Mintandao ya kijamii imeeneza picha nyingi saana zikimuuonyesha Mboni Mhita akiwa kwenye mapozi tofauti ambayo yanatilia sahaka uteuzi wake kama umezingatia vigezo kweli vya kiongozi aneyefaa kuwa mkuu wa wilaya.
Ukweli ni kwamba watu wengi wamekuwa wakizitumia picha za Nice Chande na kumfananisha na Mboni Mhita. hebu jionee mwenyewe hapo chini utofauti wao na unaweza kugoogle mwenyewe picha zao na utaona utofauti wao.
Toa comments zako hapo chini


0 comments :
Post a Comment