Wananchi wa Ilula wamegoma kupokea maiti ya mama aliyeuwawa wakati wa mapambano katiyao na polisi kwa masharti kwanza kuachiliwa kwa waliokamatwa ambao badoo wanashikiliwa na polisi, pili polisi waliouwa wakamatwe na kufikishwa mbele ya sheria .

KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE
0 comments :
Post a Comment