Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi.
Tutawaletea habari zaidi

Tutawaletea habari zaidi

KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE

0 comments :
Post a Comment